KUWAPA WENGINE  KIPAOMBELE.


Yesu Aliwapa kipaombele Watu wengine.

✍️Hakuangalia Mambo Yake tu

✍️Aliangalia zaidi Mambo ya wengine.


*4 Kila mtu asiangalie mambo yake mwenyewe, bali kila mtu aangalie mambo ya wengine. Wafilipi 2:4*


*5 Iweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ilikuwamo pia ndani ya Kristo Yesu; Wafilipi 2:5*


tusijiombee wenyewe tuwaombee wengine,Tusione sisi tunaweza peke Yetu Bali Tuone Hata wengine wanafaa ,Tusione sisi peke Yetu Ni watakatifu kuliko wengine Bali tutaangalie wengine kuwa Ni watakatifu kuliko sisi .Ajionae kuwa Ni kitu na ajitazame .Sisi Si kitu bila Yesu Kristo..Yesu Kristo ndiye atufanyaye kuwa kitu .tuwathamini Wengine


Mungu awabariki Sana🙏🙏🙏🙏

@Petro Malele.

HKWY_TANZANIA.