TAZAMA VIDEO HAPA
Tags
Audio Gospel songs
Posted by: petro malele
HKWY TANZANIA
Ni kifupi Cha Maneno Harakati ya kufanya wafuasi wa Yesu Kristo Tanzania.Harakati Hii imejikita kuwafikia wasioamini na wale wanao Amini ,kuwatia Moyo na Kuwafanya kuwa wafuasi wa Yesu Kristo ambao Wanaotengeneza wengine kuwa Wafuasi . Tunatumia vikundi vya Bible study na Maombi vinavyokutanika Nyumbani Kama Makanisa ya Nyumbani katika kuhakikisha Harakati hii inaanzisha vikundi vya Watu wanaowafikia Watu wengine
0 Comments
Post a Comment